iqna

IQNA

fursa sukuk
Mfumo wa Kifedha wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Benki ya KCB Tanzania imezindua Hatifungani (Dhamana za muda mrefu) yake ya kwanza ya Kiislamu yenye thamani ya Tsh10 bilioni ($4.4 milioni) kufadhili kitengo cha Sahl cha benki hiyo.
Habari ID: 3476075    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/12